Saturday, April 7, 2012

ES Setif Vs Simba - Match Highlighs

ES Setif vs Simba FC - Setif, Algerie

Hah haa, hujakosea ku-land katika peji hii! Karibu

Hayo ni baadhi ya yale mema yaliyotokea kule Setif wakati wawakilishi pekee wa Bongo katika mashindano ya kimataifa Simba FC - Taifa Kubwa walipokipiga dhidi ya ES Setif.  Jiniaaz! Popkorn, ambaye kwa kutumia chombo kiendacho kasi sana kiitwacho ungo, alitinga ndani ya Stade 8 mai 1945 Setif  (kiwanja kichoooov kupindukia!) na alifanikiwa, kwa ghafla sana, kuugeuza ungo huo kuwa kitendea kazi kwani baada ya kuutegesha barabara ulisaidia kunasa laiiv na kurusha kile utakachoshuhudia kwa kufuata link hii hapo chini:

Simba Wanyong'onyesha Waarabu mjini Setif